Maonesho ya Kimataifa ya Mashine za Kilimo ya China yaanza Tianjin

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 27, 2026
Maonesho ya Kimataifa ya Mashine za Kilimo ya China yaanza Tianjin
Watembeleaji wa kigeni wakifahamishwa kuhusu vipuri vya mashine za kilimo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Mashine za Kilimo ya China (CIAME) 2026 katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonesho cha Tianjin, kaskazini mwa China, Oktoba 26, 2026. (Xinhua/Sun Fanyue)

Maonesho hayo ya siku tatu yalifunguliwa jana Jumatatu huko Tianjin, China, na ukubwa wa eneo lake umefikia mita za mraba karibu 300,000, ambapo kampuni za viwanda zaidi ya 3,000 kutoka ndani na nje ya China yameshiriki kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha