Lugha Nyingine
Uwezo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo na jua wa China wafikia kW bilioni 2 (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2026
Idara ya Kitaifa ya Nishati ya China Jumatatu wiki hii ilitangaza kuwa, hadi mwisho wa Septemba 2026, uwezo wa jumla uliosanikiwa wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo na jua wa China ulifikia kilowati bilioni 2.01 (Megawati karibu laki 2).
Katia uzalishaji huo wa jumla, uwezo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua ulifikia kilowati bilioni 1.31, ambayo ni ongezeko la asilimia 16.5 kuliko mwaka uliopita, wakati uwezo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo ulifikia kilowati milioni 700, ambayo imefikia ongezeko la asilimia 20.4.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




