Lugha Nyingine
Chombo kinachobeba binadamu cha China cha kuzamia baharini chakamilisha majaribio ya kuzamia kina cha mita 7,000 (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wakifanya maandalizi kabla ya operesheni ya 465 ya kuzamia baharini ya chombo kinachobeba binadamu cha kuzamia kina zaidi baharini “Jiaolong” Oktoba 2, 2026. (Xinhua/Ye Haoming) |
Chombo cha China kinachobeba binadamu cha kuzamia kina baharini “Jiaolong”hivi karibuni kilifanya majaribio kadhaa ya kuzamia chini kabisa baharini hadi kwenye kina cha mita 700 na kurudi salama, kikifikia kina kirefu zaidi cha mita 7,056.9.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




