Lugha Nyingine
Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Ujenzi wa Kutumia AI ya Wuhan 2026 yafunguliwa (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2026
Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Ujenzi wa Kutumia AI ya Wuhan 2026, yakiwa na kaulimbiu ya "Ujenzi wa Kutumia AI Waongoza, Himiza Pamoja Minyororo ya Viwanda," yamefunguliwa jana Jumanne mjini Wuhan, katika Mkoa wa Hubei, katikati mwa China. Maonesho hayo yameweka maeneo manane ya maonesho, yakivutia makampuni zaidi ya 200 kutoka nchi na maeneo zaidi ya 10 kushiriki kwenye maonesho hayo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




