Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 – shughuli ya Urumqi yaanza Xinjiang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2026
Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 – shughuli ya Urumqi yaanza Xinjiang, China
Wageni wakitembelea maonesho ndani ya kituo cha utamaduni huko Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Novemba 23, 2026. (Xinhua/Ding Lei)

Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 – shughuli ya Urumqi yameanza mjini Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China jana Jumatatu, ambapo wageni zaidi ya 200 kutoka miji 26 ndani na nje ya China wamekusanyika pamoja huko.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha