Lugha Nyingine
Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 – shughuli ya Urumqi yaanza Xinjiang, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2026
![]() |
| Wageni wakitembelea jumba la maonesho ya mipango ya miji huko Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Novemba 23, 2026. (Xinhua/Ding Lei) |
Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 – shughuli ya Urumqi yameanza mjini Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China jana Jumatatu, ambapo wageni zaidi ya 200 kutoka miji 26 ndani na nje ya China wamekusanyika pamoja huko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Maonesho ya picha ya China na Afrika yazidisha urafiki na uhusiano wa kiutamaduni

Maua mabichi yaliyokatwa ya Kenya yang’ara kwenye soko la China

Maonyesho ya urukaji wa ndege yafanyika Changchun kuadhimisha kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China

Shughuli ya Siku ya Meli ya "Xuelong 2" ya China kufunguliwa kwa umma yafanyika Hainan
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
