Lugha Nyingine
Kundi la kwanza la mabehewa bapa ya kubeba kontena kwa ajili ya mradi wa ufufukaji wa TAZARA lakabidhiwa Dalian, China (4)
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Novemba 24, 2026, ikionesha hafla ya kukabidhi kundi la kwanza la mabehewa bapa ya kubeba kontena kwa ajili ya mradi wa ufufukaji wa Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA) huko Dalian mkoani Liaoning, kaskazini-mashariki mwa China. (Xinhua/Pan Yulong) |
Kundi la kwanza la mabehewa bapa 300 ya kubeba kontena kwa ajili ya mradi wa ufufukaji wa Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA) limekabidhiwa huko Dalian mkoani Liaoning, kaskazini-mashariki mwa China Jumanne wiki hii.
Mabehewa hayo yatasafirishwa kwa meli ya mizigo kutoka kituo cha Dalian cha kampuni ya CRRC Qiqihar Rolling Stock kwenda Tanzania na Zambia ili kuunga mkono uendeshaji wa njia nzima ya reli ya TAZARA na kuhakikisha huduma zake za ratiba ya kawaida.

Maonesho ya picha ya China na Afrika yazidisha urafiki na uhusiano wa kiutamaduni

Maua mabichi yaliyokatwa ya Kenya yang’ara kwenye soko la China

Maonyesho ya urukaji wa ndege yafanyika Changchun kuadhimisha kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China

Shughuli ya Siku ya Meli ya "Xuelong 2" ya China kufunguliwa kwa umma yafanyika Hainan
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
