Maonesho ya 28 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China Yafunguliwa Shenzhen (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2026
Maonesho ya 28 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China Yafunguliwa Shenzhen
Watu wakifahamishwa kuhusu jukwaa la mfumo wa maonesho ya droni zinazobebwa na magari kutoka Kampuni ya Teknolojia ya Kudhibiti kwa AI ya DAMODA ya Shenzhen kwenye Maonesho ya 28 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China (CHTF) huko Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, Novemba 26, 2026. (Xinhua/Liang Xu)

Maonesho ya 28 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China yamefunguliwa Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China jana Alhamisi kwenye Kituo cha Mikutano na Maonesho ya Kimataifa cha Shenzhen (Bao'an).

Ukubwa wa eneo la Maonesho hayo ya mwaka huu yanayofanyika kwa siku tatu umefikia mita za mraba 400,000, na kampuni na taasisi takriban 5,000 kutoka nchi na maeneo zaidi ya 120 zimeshiriki kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha