Lugha Nyingine
Maonesho ya 28 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China Yafunguliwa Shenzhen (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2026
![]() |
| Watu wakitazama roboti ikikunja nguo kwenye Maonesho ya 28 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China (CHTF) huko Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, Novemba 26, 2026. (Xinhua/Liang Xu) |
Maonesho ya 28 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China yamefunguliwa Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China jana Alhamisi kwenye Kituo cha Mikutano na Maonesho ya Kimataifa cha Shenzhen (Bao'an).
Ukubwa wa eneo la Maonesho hayo ya mwaka huu yanayofanyika kwa siku tatu umefikia mita za mraba 400,000, na kampuni na taasisi takriban 5,000 kutoka nchi na maeneo zaidi ya 120 zimeshiriki kwenye maonesho hayo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Urejeshaji ikolojia waleta uoto wa kijani kwenye kando za Mto Changjiang huko Wuhan, China

Maonesho ya picha ya China na Afrika yazidisha urafiki na uhusiano wa kiutamaduni

Maua mabichi yaliyokatwa ya Kenya yang’ara kwenye soko la China

Maonyesho ya urukaji wa ndege yafanyika Changchun kuadhimisha kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
