Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 - Urumqi yafunguliwa mkoani Xinjiang, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2026
Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 - Urumqi yafunguliwa mkoani Xinjiang, China
Washiriki wakihudhuria hafla ya kuanza kwa Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 - Urumqi iliyofanyika Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Novemba 26, 2026. (Xinhua/Ding Lei)

Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 - Urumqi yamefanyika Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa Novemba jana Alhamisi Novemba 26. Mazungumzo hayo yaliyofanyika chini ya kaulimbiu ya "Kuwaweka Watu Katika Kipaumbele cha Kwanza, Kuchochea Uvumbuzi: Kufanya Juhudi za Pamoja Kujenga Miji ya Kisasa kwa Ajili ya Watu", yamekutanisha washiriki zaidi ya 200 kutoka nchi mbalimbali, zikiwemo Chile, Georgia, Pakistan, Thailand na Marekani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha