Lugha Nyingine
Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 - Urumqi yafunguliwa mkoani Xinjiang, China (4)
![]() |
| Washiriki wakishiriki majadiliano kwenye meza ya mzunguko katika Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 - Urumqi yaliyofanyika Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa Novemba China, 26, 2026. (Xinhua/Ding Lei) |
Mazungumzo ya Mameya Duniani 2026 - Urumqi yamefanyika Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa Novemba jana Alhamisi Novemba 26. Mazungumzo hayo yaliyofanyika chini ya kaulimbiu ya "Kuwaweka Watu Katika Kipaumbele cha Kwanza, Kuchochea Uvumbuzi: Kufanya Juhudi za Pamoja Kujenga Miji ya Kisasa kwa Ajili ya Watu", yamekutanisha washiriki zaidi ya 200 kutoka nchi mbalimbali, zikiwemo Chile, Georgia, Pakistan, Thailand na Marekani.

Urejeshaji ikolojia waleta uoto wa kijani kwenye kando za Mto Changjiang huko Wuhan, China

Maonesho ya picha ya China na Afrika yazidisha urafiki na uhusiano wa kiutamaduni

Maua mabichi yaliyokatwa ya Kenya yang’ara kwenye soko la China

Maonyesho ya urukaji wa ndege yafanyika Changchun kuadhimisha kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
