人民网首页

Habari

Mwanamichezo kutoka Madagascar Mialitiana CLERC afurahia kushiriki Michezo ya Olimpiki ya Majira Baridi Beijing

Mwanamichezo kutoka Madagascar Mialitiana CLERC ni mmoja wa wanamichezo sita kutoka nchi tano za Afrika walioshiriki kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing, na pia ni mwanamichezo wa kwanza mwanamke kuiwakilisha Madagascar kushiriki kwenye michezo hiyo. Hii ni mara yake ya pili kushiriki Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi na nafasi yake kwenye mashindano ya Women's Giant Slalom imepanda kutoka 48 mwaka 2008 hadi 41 hapa Beijing.

Rais Xi Jinping wa China na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Bw. Thomas Bach wakipunga mikono kuwasalimia watazamaji. (Xinhua/Mpiga picha: Li Xueren)

Sherehe ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 yafanyika

Jioni ya Februari 20, Sherehe ya kufungwa kwa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ilifanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Taifa hapa Beijing.

Mchezaji wa Timu ya China Gu Ailing aliyeshinda medali ya dhahabu akifurahia ushindi baada ya mchezo Februari 18. (Xue Yubin/Xinhua)

Gu Ailing Ashinda Medali ya Dhahabu Kwenye Mchezo wa Kuteleza kwenye barafu na kuruka hewani kwenye Nusu Bomba kwa Wanawake

Siku hiyo, mchezaji wa Timu ya China Gu Ailing ameshinda medali ya dhahabu katika fainali ya mchezo wa kuteleza kwenye barafu na kuruka hewani kwenye nusu bomba kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing, mchezo ambao ulifanyika kwenye Bustani ya Yunding ya kuteleza na kuruka kwenye theluji ya Zhangjiakou, China.

Msomi wa Kenya: Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imeifanya China ipate heshima duniani

(Picha inatoka CRI.) Shirika la Huduma za Utangazaji la Olimpiki (OBS) limetangaza hivi karibuni kwamba, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ni michezo ya majira ya baridi inayotazamwa kwa wingi zaidi katika historia, na imewavutia watu zaidi ya bilioni mbili kwenye mitandao ya kijamii duniani.

Iliyopita3 4 5 6 7 8 Inayofuata