人民网首页

Habari

Msomi wa Cameroon: Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing yaakisi mabadiliko makubwa yaliyotokea China

(Picha inatoka cri.) Msomi wa Cameroon Dkt.

Nchi ya China Inayoonekana Wakati wa Kufanyika kwa Michezo ya Olilimpiki ya Majira ya Badiri ya Beijing

Kuanzia Tarehe 4 hadi 6, Februari, Rais Xi Jinping wa China akiwa pamoja na wageni waheshimiwa wa nchi mbalimbali wakiwemo marais na wakuu wa serikali za nchi mbalimbali, wajumbe wa nchi za kifalme, na wakurugenzi wa mashirika ya kimataifa walishiriki kwenye sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, ambapo rais Xi aliwaandalia karamu ya kuwakaribisha, na kufanya mazungumzo ya pande mbili mbili. Wageni kutoka nchi mbalimbali walisifu sana China kwa imani yake ya kuzifungulia mlango nchi za nje, na ujasiri wake wa kuwajibika.

Waandaaji wa Michezo ya Olimpiki ya Beijing wasema wamejitayarisha vema kukabiliana na hali mbaya ya hewa

BEIJING - Huku theluji na kushuka kwa hali ya joto kukitarajiwa mjini Beijing na Zhangjiakou wikendi hii, Kamati ya Maandalizi ya Olimpiki ya Beijing 2022 (BOCOG) imesema kuwa inachukua hatua nyingi za kuhakikisha uendeshaji mzuri wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi inayoendelea, na afya na usalama wa wahusika wote licha ya hali mbaya ya hewa. "Tunapaswa kuheshimu asili na kuhakikisha mashindano yaliyopangwa ya Michezo yanafanyika, lakini wakati huo huo tutahakikisha usalama na afya ya wanamichezo, wafanyakazi na watu wa kujitolea," Zhao Weidong, Msemaji wa BOCOG amesema Jumatano wiki hii.

Wachezaji wa Timu ya China wakiwa kwenye hafla ya kutunukiwa zawadi ya kumbukumbu Februari 10. (Xinhua)

Timu ya China yapata nafasi ya pili kwenye Fainali ya Mchezo wa kuteleza kwenye theluji na Kuruka hewani kwa mtindo huru kwa timu za jinsia mchanganyiko

Siku hiyo, fainali ya Mchezo wa kuteleza kwenye theluji na kuruka hewani kwa mtindo huru kwa timu za jinsia mchanganyiko ilifanyika katika eneo la mashindano ya michezo la Zhangjiakou, ambapo Timu ya China ilishinda nafasi ya pili. (Xinhua/Fei Maohua).

Iliyopita6 7 8 9 10 11 Inayofuata