Wen Fei ni fundi kwenye karakana ya pili ya tanuri ya kuyeyusha chuma ya Kampuni ya Chuma ya Fangda Anyuan Pingxiangpinggang ambaye pia ni mjumbe wa Bunge la Umma la 13 na 14 la China. Akiwa mfanyakazi wa chuma, yeye anafuatilia sana ulinzi wa mazingira, na kusaidia kampuni kujenga viwanda vya mtindo wa utalii wa misitu ya ikolojia na kuanzisha eneo la daraja la 3A la kitaifa la vivutio vya utalii.
Maimaiti Yibureyimu Maimaitiming ni katibu wa Kamati ya chama ya Kijiji cha Bashiyujimai cha Wilaya ya Cele ya Eneo la Hotan la Mkoa wa Xinjiang. Hapa kuna hadithi kuhusu makomamanga.
Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomusti cha China (CPC) imeanza mkutano wa pili wa wajumbe wote Jumapili mchana hapa mjini Beijing. Katibu mkuu wa Kamati Kuu ya CPC, Xi Jinping aliwasilisha ripoti ya kazi kwa niaba ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu.