Mmiliki wa kibanda (wa kwanza kulia) akiuza bidhaa kwenye soko la mtaani lenye mvuto wa kiutamaduni huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Februari 19, 2023. (Xinhua/Guo Cheng) HAIKOU - Usiku unapoingia, mtaa wa biashara wa Xixili huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa kisiwa wa Hainan, Kusini mwa China, unaingia kwenye pilikapilika nyingi za maisha.
BEIJING - Kamati ya Kudumu ya Bunge la Umma la 13 la China (NPC), imeanza mkutano wake wa 39 Alhamisi wa kufanya maandalizi kwa ajili ya mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China, utakaofunguliwa Machi 5. Li Zhanshu, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Umma la China , ameongoza kikao hicho cha kwanza cha mkutano huo wa 39.