人民网首页

Habari

Msemaji: China sio mdai mkubwa zaidi barani Afrika

(Picha inatoka CRI.) Msemaji wa kikao cha kwanza cha Bunge la 14 la Umma la China, Wang Chao amesema China sio mdai mkubwa zaidi barani Afrika kwani takwimu kutoka Benki ya Dunia zinaonesha kuwa karibu robo tatu ya deni la nje la Afrika linatoka kwenye taasisi za fedha za kimataifa na wakopeshaji wa kibiashara.

(Picha inatoka CRI.)

Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China laanza kikao chake cha mwaka

Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China CPPCC limeanza kikao chake cha mwaka leo Jumamosi mchana hapa Beijing. Rais Xi Jinping na viongozi wengine wa China wamehudhuria mkutano wa ufunguzi wa kikao cha kwanza cha Kamati ya 14 ya Taifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC), ambacho ni chombo cha ngazi ya juu zaidi cha mashauriano ya kisiasa cha China.

Video ya moja kwa moja: Ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC)

Ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) unafanyika leo tarehe 4, Machi kwenye Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, China.

Mandhari ya Uwanja wa Tian’anmen huko Beijing muda mfupi kabla ya “Mikutano Mikuu Miwili” kuwadia

Mikutano Mikuu Miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China (NPC) na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) inawadia. Huko Beijing, bendera za Taifa la China zilizopo kwenye Uwanja wa Tian’anmen, eneo ambalo mikutano hiyo muhimu itafanyika zimekuwa zikipepea na watalii kumiminika kwa wingi kuzitazama, Tarehe 2, Machi.

Iliyopita5 6 7 8 9 10 Inayofuata