人民网首页

Habari

China na Brazil zaamua kuinua uhusiano kwenye jumuiya yenye mustakabali wa pamoja

Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva wakifanya mazungumzo huko Brasilia, Brazil asubuhi ya tarehe 20, Novemba. (Xinhua) China na Brazil zimeamua kuinua uhusiano wao kwenye jumuiya yenye mustakabali wa pamoja kwa ajili ya dunia yenye haki zaidi na sayari endelevu zaidi.

Shughuli za vyombo vya habari za mawasiliano ya moja kwa moja kati ya vijana wa nchi za Dunia ya Kusini zaanzishwa Rio de Janeiro

Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG), kwa kushirikiana na mkutano wa kilele wa vijana wa G20 (Y20) na sekretarieti ya Ikulu ya Brazil, jana Novemba 18 lilianzisha shughuli za Vyombo vya Habari ya Mawasiliano ya Moja kwa Moja kati ya Vijana wa Nchi za Dunia ya Kusini, na kutangaza Azimio la Vyombo vya Habari vya Nchi za Dunia ya Kusini kuhusu Kushirikiana Katika Kuhimiza Ujenzi wa Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja, ambalo linaungwa mkono na kushirikisha vyombo vya habari 215 kutoka nchi 74. Akiongea kwenye hafla ya kuanzishwa kwa shughuli hizo, mkuu wa CMG Bw.

Asubuhi ya Tarehe 19, Novemba kwa saa za huko, Rais Xi Jinping wa China amekutana na Rais wa Argentina Javier Milei katika wakati wa kuhudhuria kwenye Mkutano wa 19 wa kundi la nchi 20 (G20) huko Rio de Janeiro, Brazil. (Picha na Zhang Ling/Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China akutana na Rais wa Argentina Javier Milei

Asubuhi ya Tarehe 19, Novemba kwa saa za huko, Rais Xi Jinping wa China amekutana na Rais wa Bolivia Luis Arce katika wakati wa kuhudhuria kwenye Mkutano wa 19 wa kundi la nchi 20 (G20) huko Rio de Janeiro, Brazil. (Picha na Ding Haitao/Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China akutana na Rais wa Bolivia Luis Arce

1 2 3 4 5 6 Inayofuata