Mkutano wa 19 wa Viongozi wa Kundi la 20 (G20) umepangwa kufanyika Rio de Janeiro, Brazili, kuanzia leo Jumatatu, tarehe 18 hadi kesho Jumanne, tarehe19 Novemba. (Picha na Wang Tiancong/Xinhua).
Rais wa China Xi Jinping akihudhuria hafla kubwa ya ukaribisho iliyoandaliwa na Rais wa Peru Dina Boluarte kwenye uwanja mbele ya Ikulu ya Lima, Peru, Mchana wa tarehe 14, Novemba kwa saa za Peru. (Xinhua/Xie Huanchi) Usiku wa Novemba 14 kwa saa za Peru, Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Peru Dina Boluarte walihudhuria hafla ya uzinduzi wa Bandari ya Chancay ya Peru kwa kupitia video.
Rais Xi Jinping wa China akihudhuria hafla kubwa ya ukaribisho iliyoandaliwa na Rais Dina Boluarte wa Peru kwenye uwanja mbele ya Ikulu ya Lima, Peru kabla ya mazungumzo. (Xinhua/Xie Huanchi) Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na mwenzake wa Peru Dina Boluarte mjini Lima jana Alhamisi, Novemba 14.
BEIJING - Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Lin Jian amesema Alhamisi kuwa, China inaamini biashara ya bidhaa kati ya China na nchi za Latini Amerika na Caribbean (LAC) itaendelea kukua kwa kasi ya juu na kupata matokeo yenye manufaa kwa pande zote kwenye kiwango cha juu zaidi. Lin alisema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari alipotoa maoni yake kuhusu ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya China na Latini Amerika na Caribbean.