人民网首页

Habari

Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China lafanya kikao cha tatu cha wajumbe wote

Kikao cha tatu cha wajumbe wote wa mkutano wa nne wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kikifanyika katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Machi 8, 2026. (Xinhua/Cao Yiming) BEIJING - Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC), chombo kikuu cha ushauri wa kisiasa cha China, imefanya kikao cha tatu cha wajumbe wote wa mkutano wa nne wa mwaka unaoendelea mjini Beijing jana Jumapili.

Kituo kinachofuata: China katika mwaka 2030!

Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, China itajitahidi kupata maendeleo makubwa katika maendeleo ya sifa bora; kupata maboresho makubwa ya uwezo wa kujitegemea na nguvu katika sekta ya sayansi na teknolojia; kupata mafanikio mapya katika kufanya mageuzi kwa kina zaidi na kwa pande zote; kushuhudia maendeleo dhahiri ya kitamaduni na kimaadili katika jamii nzima; kuleta maboresho zaidi katika ubora wa maisha; kupiga hatua kubwa mpya katika kuendeleza Mpango wa China Inayopendeza; na kupata maendeleo zaidi katika kuimarisha ngao ya usalama wa taifa. Kwa kujenga juu ya misingi imara wa kipindi cha Mpango wa 15 wa Miaka Mitano (2026-2030), na kuendelea kujitahidi hadi kufikia mwaka 2035, nguvu ya kiuchumi ya China, uwezo wake wa kisayansi na kiteknolojia, uwezo wake wa ulinzi wa taifa, nguvu yake ya jumla ya taifa, na ushawishi wake wa kimataifa vyote vitaimarishwa kwa kiasi kikubwa; Wastani wa Pato la Taifa wa kila mtu (per capita GDP) utafikia kiwango cha katikati cha nchi zilizoendelea; watu wake wataishi maisha ya furaha na yenye kutosheleza zaidi; na mambo ya kisasa ya kijamii yatakuwa kimefikiwa kimsingi.

Toleo Fupi la Ripoti ya Kazi ya Serikali ya China

Tarehe 5, Machi, Waziri Mkuu wa China Li Qiang alitoa Ripoti ya Kazi ya Serikali kwenye Mkutano wa Nne wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China. Maudhui muhimu ya ripoti hiyo ni kama yanayofuata: I.

Bunge la Umma la China lapitia muswada wa sheria wa mpango wa maendeleo ya nchi

BEIJING - Bunge la Umma la China jana Alhamisi lilianza kujadili muswada wa sheria ambao unaweka kanuni za kutungwa na kutekelezwa kwa mpango wa maendeleo ya nchi wa miaka mitano. Muswada huo wa sheria wa mpango wa maendeleo ya nchi uliwasilishwa kwenye mkutano unaoendelea wa Bunge la Umma la China kwa kujadiliwa na kupitishwa.

Iliyopita1 2 3 4 5 6 Inayofuata