Watu wa St. Petersburg, Russia waliovaa mavazi ya jadi kukaribisha Siku ya Utalii ya Dunia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2021
Watu wa St. Petersburg, Russia waliovaa mavazi ya jadi kukaribisha Siku ya Utalii ya Dunia

Septemba 25 ya saa za huko St.Petersburg, watu waliovaa mavazi ya jadi wakiendesha ngalawa na kutembelea kwenye Mto Neva wa Russia walikaribisha Siku ya Utalii ya Dunia ya Septemba 27.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha