

Lugha Nyingine
Maandalizi ya kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China yafanyika katika hali motomoto (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2022
![]() |
Watoto wakichagua bidhaa za mapambo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwenye soko la Wilaya ya Daoxian, Mkoani Hunan Januari 27. (Mpiga picha: Jiang Keqing) |
Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China wa Chuimilia inakaribia huku hali ya kusherehekea Mwaka Mpya kila mahali nchini China ikiwa na pilikapilika zaidi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma