Maandalizi ya kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China yafanyika katika hali motomoto (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2022
 Maandalizi ya kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China yafanyika katika hali motomoto
Vijana wanaopenda uandikaji wa maandiko ya Kichina wakiandika neno la Kichina “Fu” ambalo maana yake ni baraka kwenye Jumba la Michezo la Kijiji cha Shuikou, Wilaya ya Jing'an katika Mji wa Yichun, Mkoani Jiangxi nchini China Januari 27. (Mpiga picha:Xu Zhongting)

Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China wa Chuimilia inakaribia huku hali ya kusherehekea Mwaka Mpya kila mahali nchini China ikiwa na pilikapilika zaidi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha