

Lugha Nyingine
Maandalizi ya kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China yafanyika katika hali motomoto (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2022
![]() |
Watu wa Mji wa Fuyang wa Mkoa wa Anhui,China wakinunua bidhaa za Mwaka Mpya wa jadi kwenye Soko la Mtaa wa Umma , Januari 27. (Mpiga picha: Wang Biao) |
Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China wa Chuimilia inakaribia huku hali ya kusherehekea Mwaka Mpya kila mahali nchini China ikiwa na pilikapilika zaidi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma