Bwawa la Sanmenxia la katikati mwa China laanza kufanya kazi ya Kuondoa tope la mchanga

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 06, 2022
Bwawa la Sanmenxia la katikati mwa China laanza kufanya kazi ya Kuondoa tope la mchanga
Picha iliyopigwa tarehe 4, Julai, 2022 ikionesha mradi wa maji wa Sanmenxia kwenye Mkoa wa Henan, katikati mwa China wakati wa kufanya kazi ya kuondoa tope la mchanga ili liingie kwenye bahari kwa kufuata mtiririko wa maji. Bwawa la Sanmenxia limeanza kufanya kazi hii kuanzia tarehe 4, Julai ili kuondoa tope la mchanga chini ya bwawa. (Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha