Ujenzi wa Daraja la Zishui kando ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha nchini China ukiendelea (10)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2022
Ujenzi wa Daraja la Zishui kando ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha nchini China ukiendelea
Picha iliyopigwa Tarehe 18 Julai 2022 kutoka juu ikionyesha mtambo wa kubeba vyuma vya reli ukipita kwenye daraja kuu la Zishui kando ya njia ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha, katika Mkoa wa Hunan nchini China. (Xinhua/Chen Sihan)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha