Ujenzi wa Daraja la Zishui kando ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha nchini China ukiendelea (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2022
Ujenzi wa Daraja la Zishui kando ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha nchini China ukiendelea
Mfanyakazi akikata vyuma vya reli kwenye eneo la ujenzi wa daraja kuu la Zishui kando ya njia ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha, katika Mkoa wa Hunan nchini China, Julai 18, 2022. (Xinhua/Chen Sihan)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha