Ujenzi wa Daraja la Zishui kando ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha nchini China ukiendelea

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2022
Ujenzi wa Daraja la Zishui kando ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha nchini China ukiendelea
Picha iliyopigwa Tarehe 18 Julai 2022 kutoka juu ikionyesha eneo la ujenzi wa daraja kuu la Zishui kando ya reli ya Changde-Yiyang-Changsha, katika Mkoa wa Hunan nchini China. Njia ya reli ya mwendo kasi yenye urefu wa kilomita 157, inayounganisha miji ya Changde, Yiyang na Changsha katika Mkoa wa Hunan yenye kasi ya kilomita 350 kwa saa, ni sehemu muhimu katika mtandao wa reli ya mwendo kasi wa China. (Xinhua/Chen Sihan)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha