Sehemu ya Reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili nchini China kuanza kutumika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 20, 2022
Sehemu ya Reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili nchini China kuanza kutumika
Treni ya mwendokasi ikiwa imesimama kwenye Stesheni ya eneo la Yongping katika sehemu ya reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili katika Mkoa wa Yunnan nchini China, Julai 19, 2022. (Xinhua/Chen Xinbo)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha