Sehemu ya Reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili nchini China kuanza kutumika (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 20, 2022
Sehemu ya Reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili nchini China kuanza kutumika
Katika picha iliyopigwa kutoka juu, treni ya mwendokasi ikiendeshwa kwa majaribio kwenye daraja kuu la Mto Lancang kando ya sehemu ya reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili katika Mkoa wa Yunnan nchini China, Julai 19, 2022. (Xinhua/Chen Xinbo)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha