Sehemu ya Reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili nchini China kuanza kutumika (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 20, 2022
Sehemu ya Reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili nchini China kuanza kutumika
Wahudumu wa shirika la reli wakitumbuiza ndani ya treni ya mwendokasi inayoendeshwa kwa majaribio katika sehemu ya reli ya Dali-Baoshan ya Reli ya Dali-Ruili katika Mkoa wa Yunnan nchini China, Julai 19, 2022. (Xinhua/Jiang Wenyao)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha