Kampuni ya uchimbaji visima ya China yasaidia kugeuza jangwa la Misri kuwa shamba la kijani (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2022
Kampuni ya uchimbaji visima ya China yasaidia kugeuza jangwa la Misri kuwa shamba la kijani
Picha ikionyesha mtambo wa kuchimba visima wa kampuni kutoka China ya Zhongman Petroleum and Gas Group (ZPEC) kwenye shamba la viazisukari lililoko jangwani katika Mkoa wa Minya, Misri Februari 2, 2021. (ZPEC/Kitini kupitia Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha