Kampuni ya uchimbaji visima ya China yasaidia kugeuza jangwa la Misri kuwa shamba la kijani (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2022
Kampuni ya uchimbaji visima ya China yasaidia kugeuza jangwa la Misri kuwa shamba la kijani
Aaron Baldwin, Meneja Mkuu wa Kampuni ya Sukari ya Canal, ambayo ni ya ubia wenye thamani ya dola bilioni 1-U.S. kati ya Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), akiwa katika picha ya pamoja na viazisukari kwenye shamba la viazisukari lililoko jangwani katika Mkoa wa Minya, Misri.Tarehe 11 Julai 2022. (Xinhua/Sui Xiankai)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha