Kampuni ya uchimbaji visima ya China yasaidia kugeuza jangwa la Misri kuwa shamba la kijani (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2022
Kampuni ya uchimbaji visima ya China yasaidia kugeuza jangwa la Misri kuwa shamba la kijani
Wafanyakazi wa kampuni kutoka China ya Zhongman Petroleum and Gas Group (ZPEC) wakichimba kisima kwa ajili ya shamba la viazisukari lililoko jangwani katika Mkoa wa Minya, Misri Novemba 12, 2018. (ZPEC/Kutumwa kupitia Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha