Waziri Mkuu wa Italia Draghi ajiuzulu, uchaguzi mpya kufanyika Septemba 25 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2022
Waziri Mkuu wa Italia Draghi ajiuzulu, uchaguzi mpya kufanyika Septemba 25
Waziri Mkuu wa Italia Mario Draghi akiwapungia mkono wabunge mwishoni mwa hotuba yake kwenye ukumbi wa bunge la baraza la chini mjini Rome, Italia, Julai 21, 2022. (Picha na Alberto Lingria/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha