Katika Picha: Watu wakifurahia vivutio mbalimbali wakati wa likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2023
Katika Picha: Watu wakifurahia vivutio mbalimbali wakati wa likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Watalii wakifurahia burudani ya onyesho katika mtaa wa kale wa Qilou wakati wa likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Januari 27, 2023. (Xinhua/Guo Cheng)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha