Katika Picha: Watu wakifurahia vivutio mbalimbali wakati wa likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2023
Katika Picha: Watu wakifurahia vivutio mbalimbali wakati wa likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Watu wakifurahia "maua ya chuma," ambayo ni maonyesho ya sanaa ya kiasili ya kurusha chuma kilichoyeyushwa ili kutengeneza fashifashi, katika Kijiji cha Liushuigou cha Mji wa Huaying, Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China, Januari 25, 2023. (Picha na You Qing/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha