Katika Picha: Watu wakifurahia vivutio mbalimbali wakati wa likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2023
Katika Picha: Watu wakifurahia vivutio mbalimbali wakati wa likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Watalii wakicheza na shakwe kwenye daraja la eneo lenye mandhari nzuri la Zhanqiao huko Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Januari 26, 2023. Kutazama shakwe wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ni desturi huko Qingdao. Siku hizi, kutokana na kuboreshwa kwa mazingira ya ikolojia, spishi za shakwe huko Qingdao zimeongezeka hadi zaidi ya 20 na idadi imepita 100, 000. (Xinhua/Li Ziheng)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha