Viwanda na makampuni nchini China yarejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2023
Viwanda na makampuni nchini China yarejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye karakana iliyopo katika Wilaya ya Lin'an huko Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Januari 28, 2023. (Picha na Hu Jianhuan/Xinhua)

Viwanda na makampuni kote nchini China yamerejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China iliyokwisha Ijumaa wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha