Viwanda na makampuni nchini China yarejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2023
Viwanda na makampuni nchini China yarejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye kampuni ya uundaji wa moduli za nishati ya jua katika Wilaya ya Feidong huko Hefei, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, Januari 28, 2023. (Picha na Ruan Xuefeng/Xinhua)

Viwanda na makampuni kote nchini China yamerejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China iliyokwisha Ijumaa wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha