Viwanda na makampuni nchini China yarejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2023
Viwanda na makampuni nchini China yarejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Mfanyakazi akifanya kazi katika ghala huko Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Januari 28, 2023. (Picha na Liu Qiang/Xinhua)

Viwanda na makampuni kote nchini China yamerejea kazini baada ya likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China iliyokwisha Ijumaa wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha