Sekta ya ufugaji wa samaki yastawi huko Tianjin, Kaskazini mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 17, 2023
Sekta ya ufugaji wa samaki yastawi huko Tianjin, Kaskazini mwa China
Mfanyakazi akipima ubora wa maji kwenye kituo cha kutotolea vifaranga vya samaki cha Shirika la Maendeleo ya Rasilimali za Majini la Leadar la Tianjin katika Eneo Maalum la Viwanda vya Kilimo cha Kisasa la Eneo Jipya la Binhai lililoko Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Machi 16, 2023. (Xinhua/Zhao Zishuo)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha