Sekta ya ufugaji wa samaki yastawi huko Tianjin, Kaskazini mwa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 17, 2023
Sekta ya ufugaji wa samaki yastawi huko Tianjin, Kaskazini mwa China
Vifaranga vya samaki kamba vikionekana kwenye eneo la kutotolea vitoto vya samaki katika Shirika la Maendeleo la Viumbe vya Majini la Leadar kwenye Eneo Maalum la Viwanda vya Kilimo cha Kisasa la Eneo Jipya la Binhai lililoko Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Machi 16, 2023. (Xinhua/Zhao Zishuo)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha