Sekta ya ufugaji wa samaki yastawi huko Tianjin, Kaskazini mwa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 17, 2023
Sekta ya ufugaji wa samaki yastawi huko Tianjin, Kaskazini mwa China
Wafanyakazi wakipima joto la kutotolewa kwa vifaranga vya samaki kwenye kiwanda cha ufugaji samaki katika Eneo Maalum la Viwanda vya Kilimo cha Kisasa la Eneo Jipya la Binhai lililoko Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Machi 16, 2023. (Xinhua/Zhao Zishuo)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha