Sekta ya ufugaji wa samaki yastawi huko Tianjin, Kaskazini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 17, 2023
Sekta ya ufugaji wa samaki yastawi huko Tianjin, Kaskazini mwa China
Mfanyakazi akimpasua samaki chewa kwenye maabara ya Shirika la Maendeleo ya Rasilimali za Majini la Leadar la Tianjin katika Eneo Maalum la Viwanda vya Kilimo cha Kisasa la Eneo Jipya la Binhai lililoko Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Machi 16, 2023. Eneo hilo maalum la viwanda lina zaidi ya kampuni 90 za ufugaji wa samaki likiwa na uwezo wa kuzaliana wa kila mwaka kwa vifaranga bilioni 18.6 vya samaki. (Xinhua/Zhao Zishuo)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha