Maendeleo ya kijani na nishati mpya yafuatiliwa na watu wengi kwenye Mkutano wa Boao (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2023
Maendeleo ya kijani na nishati mpya yafuatiliwa na watu wengi kwenye Mkutano wa Boao
Mtu akitazama mfumo wa kupanda mboga na kufuga samaki kwa pamoja katika bustani iliyoko kwenye Kisiwa cha Dongyu huko Boao, mkoani Hainan, China, Machi 28, 2023. (Xinhua/Zhang Liyun)

Baraza la Boao la Asia 2023 (BFA 2023) linafanya mkutano wake wa mwaka kuanzia Machi 28 hadi leo Machi 31 huko Boao. Maendeleo ya kijani na nishati mpya yamefuatiliwa na watu wengi kwenye mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha