Maendeleo ya kijani na nishati mpya yafuatiliwa na watu wengi kwenye Mkutano wa Boao (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2023
Maendeleo ya kijani na nishati mpya yafuatiliwa na watu wengi kwenye Mkutano wa Boao
Picha hii iliyopigwa Machi 30, 2023 ikionyesha kituo cha usimamizi cha eneo la kielelezo la kutokuwa na hewa ya kaboni huko Boao, mkoani Hainan, China Machi 30, 2023.

Baraza la Boao la Asia 2023 (BFA 2023) linafanya mkutano wake wa mwaka kuanzia Machi 28 hadi leo Machi 31 huko Boao. Maendeleo ya kijani na nishati mpya yamefuatiliwa na watu wengi kwenye mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha