Maendeleo ya kijani na nishati mpya yafuatiliwa na watu wengi kwenye Mkutano wa Boao

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2023
Maendeleo ya kijani na nishati mpya yafuatiliwa na watu wengi kwenye Mkutano wa Boao
Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakitembelea kituo cha usimamizi cha eneo la kielelezo la kutokuwa na hewa ya kaboni huko Boao, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China Machi 30, 2023. (Xinhua/Yang Guanyu)

Baraza la Boao la Asia 2023 (BFA 2023) linafanya mkutano wake wa mwaka kuanzia Machi 28 hadi leo Machi 31 huko Boao. Maendeleo ya kijani na nishati mpya yamefuatiliwa na watu wengi kwenye mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha