Katika Picha: Maonyesho ya Baraza la Zhongguancun la Beijing, China yakionyesha uvumbuzi wa kiteknolojia (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2023
Katika Picha: Maonyesho ya Baraza la Zhongguancun la Beijing, China yakionyesha uvumbuzi wa kiteknolojia
Picha hii iliyopigwa Mei 26, 2023 ikionyesha roboti ya ukubwa kamili ya binadamu inayoonyeshwa kwenye Eneo la Maonyesho ya Kielelezo cha Uvumbuzi wa Kujitegemea wa Kitaifa katika Kituo cha Maonesho cha Zhongguancun mjini Beijing, China. (Xinhua/Zhang Chenlin)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha