Katika Picha: Maonyesho ya Baraza la Zhongguancun la Beijing, China yakionyesha uvumbuzi wa kiteknolojia (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2023
Katika Picha: Maonyesho ya Baraza la Zhongguancun la Beijing, China yakionyesha uvumbuzi wa kiteknolojia
Picha hii iliyopigwa Mei 26, 2023 ikionyesha droni yenye vifaa vya utangazaji wa dharura kwenye eneo la Maonyesho ya Kielelezo cha Uvumbuzi wa kujitegemea wa Kitaifa katika Kituo cha Maonesho ya Zhongguancun mjini Beijing, China. (Xinhua/Zhang Chenlin)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha