Katika Picha: Maonyesho ya Baraza la Zhongguancun la Beijing, China yakionyesha uvumbuzi wa kiteknolojia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2023
Katika Picha: Maonyesho ya Baraza la Zhongguancun la Beijing, China yakionyesha uvumbuzi wa kiteknolojia
Mtembeleaji wa maonyesho akifahamishwa kuhusu teknolojia ya kuhifadhi hewa ya nishati iliyobanwa kwenye Eneo la Uvumbuzi wa Kujitegemea wa Kitaifa katika Kituo cha Maonesho ya Zhongguancun mjini Beijing, China, Mei 26, 2023. (Xinhua/Zhang Chenlin)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha